SMS d'amour en swahili/Meseji za Mapenzi 2023

Dernière version

Version
Mise à jour
31 mai 2024
Développeur
Installations
100 000+

App APKs

Swahili love SMS za Mapenzi APP

Pata sms moto za mapenzi za kiswahili. Ikiwa una mchumba ambaye ungependa kumwambia maneno matamu ya kumfurahisha, basi utazipata kwenye app hii. Ukitaka kumwandia maneno mazito yenye mapenzi ya kila aina. Ikiwa unataka meseji za kumbukumbu ya siku mliopatana au ya ndoa, app hii iko sms kamili ya kumwandikia mpenzio. Kuna sms za siku ya kuzaliwa pia, meseji ya kumwandikia mpenzi wako kwa siku aliyozaliwa. Isitoshe, Kuna meseji tamu za kumwandikia mpenzio iwapo mmekosana, sms hizo zitampea maana ya kukusamehe. Ukitaka kumwambia mwenzio jinsi unavyomkosa, basi tunazo hizo meseji kwa wingi.

SMS/Meseji za Mapenzi - SMS d'amour en swahili
Lire la suite

Publicité