Swahili amor SMS/Meseji za Mapenzi 2023

Última Versión

Versión
Actualizar
31 may. 2024
Desarrollador
Descargas
100.000+

App APKs

Swahili love SMS za Mapenzi APP

Pata sms moto za mapenzi za kiswahili. Ikiwa una mchumba ambaye ungependa kumwambia maneno matamu ya kumfurahisha, basi utazipata kwenye app hii. Ukitaka kumwandia maneno mazito yenye mapenzi ya kila aina. Ikiwa unataka meseji za kumbukumbu ya siku mliopatana au ya ndoa, app hii iko sms kamili ya kumwandikia mpenzio. Kuna sms za siku ya kuzaliwa pia, meseji ya kumwandikia mpenzi wako kwa siku aliyozaliwa. Isitoshe, Kuna meseji tamu za kumwandikia mpenzio iwapo mmekosana, sms hizo zitampea maana ya kukusamehe. Ukitaka kumwambia mwenzio jinsi unavyomkosa, basi tunazo hizo meseji kwa wingi.

SMS/Meseji za Mapenzi - swahili love SMS
Más información

Publicidad