Kuza Business APP
Ukiwa na app ya Kuza Business unaweza kufanya yafuatayo;
- Stok Kurekodi bidhaa zako yani
-Kurekodi Mauzo Yako
-Kurekodi Madeni unayodai na unayodaiwa
-Kurekodi Matumizi Yanayohusu Biashara Yako
-Kurekodi wateja wako
- Unaweza kuongeza wauzaji na kuwawekea mipaka
- Na Kutunza taarifa zingine zote za msingi zinazohusu biashara yako kama watu unaowadai, wanaokudai na taarifa zingine nyingi za msingi.
Bisnis Karibu Kuza Uweze Kukuza Biashara Yako
Kuza Business adalah aplikasi seluler pembukuan untuk bisnis untuk mencatat dan menyimpan data dan detail bisnis mereka seperti penjualan, pengeluaran, hutang, dan manajemen inventaris. Kuza Business memudahkan bisnis untuk mengembangkan bisnis mereka dengan membuat keputusan berdasarkan data bisnis mereka